Quantcast
Channel: JamiiForums
Viewing all 44967 articles
Browse latest View live

Nauza toyota passo..

$
0
0
Toyota passo iko poa..
Automatic
White
4 cylinder
Bei 5.8m
Kwa mawasiliano 0713 799 522
Iko dar..

Russian “Weaponized Default” Law Threatens Collapse Of Entire Western World

$
0
0
A new report issued today by the Security Council (SC) states that President Putin has just forwarded to theDuma (legislator/parliament) one of the most feared set of laws ever seen in modern Russian history that once enacted would create the worst “economic cyclone” the Western world has ever seen and plunge both the United States and European Union into immediate depression, if not outright total economic collapse.
According to this report, these new laws were ordered drawn up this past...

Russian “Weaponized Default” Law Threatens Collapse Of Entire Western World

Hiki ni kitu kinachonikera sana wakati wa game, wewe ni kipi?

$
0
0
Pale napokuwa na mtoto mzuri kwenye uwanja wa 6 by 6. Mimi nakomaa kumpiga romance za hapa na pale huwa fresh lakini pale tu anapopeleka mikono yake maeneo ya makalio yangu hamu huwa inaisha na kuingiwa na hofu, anaweza kunipima tezi dume, akanitoa bikra yangu bure. ile sehemu yangu ni sacred ambayo haitakiwi kuguswa kwa namna yoyote ile na babe. Iweje unishike makalio babe?
Nifanyie yote lakini huko hapana!!!
Wewe je mwenzangu wapi ukiguswa hamu inakata???

UKAWA: Huu ni udhalilishaji na insurbodination kwa waheshimiwa hawa

$
0
0
Nimeshtushwa na taarifa eti UPINZANI wamegoma kuchagua wanyeviti wa kamati ya LAAC na PAC eti kwa sababu waabunge walioteuliwa katika hizo kamati hawawezi hizo nafasi, Really ???

Tuanze hapa. Wabunge wa UKAWA katika LAAC ni
  1. Dr. Suleiman Ally Yusuph - cuf
  2. Rose Kamili -CDM
  3. Conchesta Rwamkaza -cdm
  4. Grace Kiwelu -CDM
  5. Joseph Mkundi -CDM
  6. Vedasto Ngombale -Cuf
Na PAC ni
  1. Nagenjwa Kabuyoka -CDM
  2. Musa Mbarouk -Cuf
  3. Raisa Mussa- Cuf
  4. Yoseph komba...

UKAWA: Huu ni udhalilishaji na insurbodination kwa waheshimiwa hawa

Mateja Wanaokula Dawa Mwananyamala Hospital

$
0
0
Kama ukibahatika kufika maeneo ya yanayozungua viunga vya hospitali ya mwananyama kuna kitu fuani kitakugusa na hasa maeneo yanayozunguka ukuta wa hospitali hiyo kwenye vioski vya juisi na chai

Utakutana na idadi kubwa ya vijana wa moto na makamu wakiwa na miili dhaifu na nyuso za kukunjamana, hapo awali walikua wanajikusanya jirani kabisa na ukuta wa hospitali na sasa wanakusanyika eneo lenye gereji wakiongozwa na kinara wao Ray C ambaye yeye huacha na kurudi

Msingi wa mada yangu ni...

Mateja Wanaokula Dawa Mwananyamala Hospital

Mkoa wa Dar es Salaam sasa kuwa na Wilaya tano

$
0
0


Mkoa wa Dar es Salaam sasa kuwa na Wilaya tano

Arsenal Special Thread

$
0
0

[​IMG]
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch


Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

Kumbukumbu ya kusamehewa ukimwi

$
0
0
Tarehe kama ya leo 2012 naikumbuka Baada ya binti roda mtoto toka mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi..
Ilikuwa ni km bahati kwangu Baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa kumnyaka japo kwa kulazimisha sana na hata ilipofika time ya kumuomba mzigo bado aliendelea kunikatalia. Kiukweli nilimlazimisha sana tukifanya nae romance kwa wingi lakini kila nikitaka kuingiza alikataa katakata, nilisumbuka naye sana zaidi ya mara 7 namvua nguo lakini wapi, namchezea analegea macho...

Kumbukumbu ya kusamehewa ukimwi

Monthly Technical Reviews on Gold and Silver (February 2016)

$
0
0
GOLD (XAUUSD)

Dominant Bias: Bearish

Gold started a persistent bullish journey a few weeks ago, and this is strong enough to threaten the current bearish bias on the market. Should the bullish journey persist for the next few days, that would lead to a new clean “buy” signal, leading to a Bullish Confirmation Pattern in the market. There are possibilities of pullbacks this month, but as soon as price goes above the resistance level at 1155.00, then bearish positions would no...

Monthly Technical Reviews on Gold and Silver (February 2016)

Simu yangu ya windows nashinda ku-scroll baadhi ya website

$
0
0
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone.
Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini. Naomba msaada tafadhalini sana.

Asanteni.

Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

$
0
0
Hali ndani ya bunge ni kutokuelewana muda huu, wabunge upande wa upinzani, wamesimama muda huu kushinikiza bunge kurushwa live na TBC, mwenyekiti anayeendesha bunge muda huu ni Andrew Chenge amesema uamuzi wa Serikali kuzuia bunge kurushwa live ni sahihi.

TV zilizokuwa hewani jioni hii nazo zimeondoka hewani live baada ya wabunge wa upinzani kusimama wakitaka mjadala wa bunge urushwe live na TBC.

Hali ndani ya bunge ni sintofahamu!.

...

Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

Halotel mshaanza kuniboa

$
0
0
Habari wakuu mimi ni moja ya wale watu waliojiunga na mtandao wa halotel hivi karibun ili kujionea utofauti na mitandao mingine lakin hawa jamaa wa halotel siwaelewi kwanini kila nikijaribu kudownload mafile kama movie zinazoanzia ukubwa wa 150mb wananipunguzia download speed.. Hii ni mara ya pili kila nikianza kudownload file utakuta navoanza kudownload download speed inakuwa juu(320kb/s) lakin ikifikia katikati inakuta download speed inapungua hadi 16kb/s..sielew tatizo nini

NB.Natumia...

Halotel mshaanza kuniboa

The Chelsea FC Thread

$
0
0
[​IMG]

Full name:
Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905;

Ground: Stamford Bridge,

Capacity: 41,837

Owner: Roman Abramovich

Chairman: Bruce Buck

Manager: José Mourinho

League: Premier League

2013–14: Premier League, 3rd

Website: ...​

The Chelsea FC Thread

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

$
0
0
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni

2.Husafiri bila passport nje ya nchi

3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully

4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.

5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela

6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria

7. Ana uwezo wa kutolipa kodi

8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha

9. Ni malkia wa Australia pia

10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia...

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Mama Mkwe Amekuja na Mwongozo Mkali!!

$
0
0
Hivi Juzi Juzi Mama Mkwe Wangu Alikuja Kunitembelea Hapa Kwangu Akitokea Huko Mbwinde. Nilifurahi Sana Kwa Kuwa Ni Muda Sana Umepita Hatujaonana.

Mama Mkwe Hakupoteza Muda Akanipa " Mwongozo " Mzito Na Uliotukuka Kuwa " Nisimzalishe " Tena Mwanae Kwani Watoto Wawili Tuliozaa Mpaka Sasa Wanatosha Na Ni Marufuku Kumzalisha Tena Mwanae Ambaye Ni Mke Wangu Kipenzi Wa Ndoa Na Akafika Mbali Zaidi Baada Ya Kusema Ole Wangu Nikiuke Mwongozo Wake. Hakika...

Mama Mkwe Amekuja na Mwongozo Mkali!!

American Election 2016: kicks off in Iowa

$
0
0
  • First votes of the primary election starts in Iowa, Iowans get to vote first for the next President.
  • Hillary Clinton and Bernie Sanders neck and neck in opinion polls.
  • Trump and Cruz battling to the last minute. Trump hardly leads in polls, visits election centers and hopes to win, while Cruz holds a pre caucus rally in Iowa.
  • Jeb Bush, Kasich moves on to New Hampshire, holds campaigns' rallies in Manchester
  • Ben Carson will not go to New Hampshire, said he's going home...

American Election 2016: kicks off in Iowa

Naibu Spika Jaribu Kuwa Na Adabu Kidoooogo!

$
0
0
Nakiri Wewe Ni Mwana CCM Mwenzangu Tena ULIYETUKUKA Tu Na NAKUKUBALI Kiutendaji Kutokana Na Sifa Zako Za KIUELEDI Ulizonazo Ila Nimekuwa Nikikufuatilia Kwa Jicho Langu La Tatu La ( TAI ) Hasa Siku Ambazo Umekuwa Ukishikilia Hicho Kiti Na Nimegundua Mambo Kadhaa Ambayo Najiuliza Je Huwa Unafanya MAKUSUDI Tu au Labda Hujakaa Sana Na WAZEE Ujifunze Jinsi Ya Kuishi Nao?

Sababu Iliyonipelekea Kuandika UZI Huu Ni Kitendo Chako Ambacho KINAJIRUDIA Kila Kukicha Cha...


Naibu Spika Jaribu Kuwa Na Adabu Kidoooogo!

Ukristo Tanzania uko hatarini kupotea

$
0
0
Habari wanajamii,

Huu ni mtazamo wangu tu. Ukristo hapa kwetu Tanzania hauna muda mrefu utapotea na kuacha dini zingine zikishika hatamu maana siku hizi imeonekana madhehebu mengi ya kikristo yako kibiashara zaidi na yamewekeza huko kwenye biashara kuliko kutoa huduma na kueneza dini yao.

Miaka ya nyuma kidogo taasisi nyingi za dini zilikua zinatoa huduma bila malipo,au kama kuna malipo basi yalikua nafuu sana ukilinganisha na sehemu zingine za huduma hizo, mfano wa hizo huduma ni kama...

Ukristo Tanzania uko hatarini kupotea

Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet) - Karibuni tubashiri Mechi za Leo!

$
0
0
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)... I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)... II2+...

Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet) - Karibuni tubashiri Mechi za Leo!

Mabaamedi wa Sinza na Kinondoni

$
0
0
Ndio bomba zaidi wengi wana elimu ni wasafi wanang'ara wanatumia makeups vipodozi na marashi ya bei mbaya wanajua kusuka sangita za mmasai na Brazilian wanamiliki smart phones (japo nyingi ni mchina copy) wengi hawaishi geto ama wamepanga vyumba manzese au wamepangishiwa
Ila ni------>>>

WEZI NA COLD PROSTITUTES
Viewing all 44967 articles
Browse latest View live




Latest Images